Timu nane pekee ndizo zimesalia kwenye mbio za kuwania taji la Kombe la Dunia, huku robo fainali zikitarajiwa kuanza Alhamisi ...
Uamuzi wa FIFA kumruhusu Folarin Balogun kucheza baada ya Donald Trump kuingilia kati umefufua mjadala kuhusu nafasi ya siasa ...
Superkompyuta iliyotengenezwa na kampuni ya ubashiri ya British Gambler imetabiri kuwa ndoto za England kutwaa Kombe la Dunia 2026 zitaishia katika hatua ya nusu fainali, huku ...
TIMU ya taifa ya Hispania imeendelea kuonyesha kwa nini ni miongoni mwa zinazopewa nafasi kubwa ya kutwaa Kombe la Dunia 2026 ...
Tuliyokuandalia leo ni mkusanyiko wa matukio ya raundi ya 32, je ni wakati timu changa kuanza kutamba? Timu mbili tu za ...
Wenyeji wenza Marekani wametolewa nje ya Kombe la Dunia baada ya kushindwa 4-1 na Ubelgiji katika hatua ya 16 bora. Ureno nayo imepigwa kumbo na kutolewa na Uhispania baada ya kufungwa 1-0.
Ingawa michuano hii kwa wanawake ilianza hivi majuzi - kwa mara ya kwanza ilifanyika mwaka wa 1991 nchini China - michuano ya kombe la dunia la soka kwa wanawake imekuwa matukio ya kimataifa. Na ...
Shirikisho la soka duniani FIFA limeelezea jinsi lilivyoamua kusimamisha marufuku ya mchezo mmoja kwa mchezaji wa Marekani katika Kombe la Dunia la soka la wanaume.
Maelezo ya picha, Kipa wa zamani wa Misri Essam El Hadary alicheza mechi yake ya 159 na ya mwisho ya kimataifa katika mechi ya mwisho ya nchi yake kwenye Kombe la Dunia la 2018. Wanasema ngoma ya ...
Japani iliondolewa kwenye Kombe la Dunia la soka la wanaume baada ya kupoteza 2-1 dhidi ya Brazil. Japani iliyo katika nafasi ...
Uhispania na Ubelgiji zimefuzu kwa robo fainali, wakati ndoto za Kombe la Dunia za wenyeji Marekani na Ureno ya Cristiano ...
Hata hivyo, DR Congo ilijipata katika kundi ambalo lilijumuisha Ureno, Colombia na Uzbekistan. SBS Swahili ilizungumza na ...